Sunday, June 12, 2011

JE HII NI SAWA?

WAKATI WAKINAMAMA WAJAWAZITO WAKIWA HAWANA SEHEM RASMI ZA KUPUMZIKIA WAKATI WA KUJIFUNGUA LAKINI BUNGE LINATUMI ZAIDI YA 52 MILIONI KWA AJILI YA POSHO YA SIKU MOJA. JE WADAU HII NI SAWA?

No comments:

Post a Comment